Kiwarrgamay kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarrgamay katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwarrgamay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarrgamay kiko katika kundi la Kidyirbaliki, yaani imahusiana na Kidyirbal.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarrgamay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.