Kiwilawila kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wawilawila katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwilawila ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwilawila kiko katika kundi la Kiwunambal. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingarinyin.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwilawila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.