Kiwunumara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawunumara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwunumara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwunumara kiko katika kundi la Kimayabiki. Wengine hudai kwamba Kiwunumara ni lugha sawasawa na Kimayi-Kulan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwunumara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.