Kiyan-Nhangu

lugha ya asili ya Australia

Kiyan-Nhangu (au Kinhangu) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayan-Nhangu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiyan-Nhangu saba tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyan-Nhangu kiko katika kundi la Kiyolngu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyan-Nhangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.