Kiyandruwandha

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiyandruwandha kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayandruwandha katika majimbo ya Australia Kusini na Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyandruwandha ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyandruwandha kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyandruwandha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.