Kiyardliyawarra
Kiyardliyawarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayardliyawarra katika jimbo la Australia Kusini na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyardliyawarra, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyardliyawarra kiko katika kundi la Kiyarli.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyardliyawarra kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyardliyawarra
- lugha ya Kiyardliyawarra katika Glottolog
- lugha ya Kiyardliyawarra katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyardliyawarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |