Kiyarluyandi

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiyarluyandi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayarluyandi katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyarluyandi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyarluyandi kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingamini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyarluyandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.