Kiyawarawarga

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiyawarawarga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayawarawarga katika majimbo ya Australia Kusini na Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyawarawarga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyawarawarga kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyawarawarga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.