Kiyawijibaya
Kiyawijibaya kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wayawijibaya katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyawijibaya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyawijibaya kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiworrorra.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyawijibaya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyawijibaya
- lugha ya Kiyawijibaya katika Glottolog
- lugha ya Kiyawijibaya katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyawijibaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |