Klaro wa Nantes (pia: Kler, Clair, Clarus; karne ya 3 - Réguiny, Armorique, 310 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo huko Bretagne, leo nchini Ufaransa[1][2][3].

Mt. Klaro akiponya vipofu.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Oktoba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Arthur de La Borderie, "Saint Clair and the origins of the Church of Nantes as the true tradition" (Plihon, 1884).
  2. Oheix, Robert, "Saint-Clair - Premier évêque de Nantes", 1876, InfoBretgne.com
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/73870
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.