Klaro wa Tours (alifariki Tours, Galia, leo nchini Ufaransa, 396 hivi) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha huko, karibu na mwalimu wake, askofu Martino wa Tours[1].

Panapotunza masalia yake huko Teplice.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 8 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Sulpisi Severi, Maisha ya Mt. Martino, 23.
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.