Klementi wa Metz (pia: Clemens, Clement; aliishi katika karne ya 3 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo (leo nchini Ufaransa)[1].

Mt. Klementi karibu na magofu ya Uwanja wa michezo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Le Diocèse de Metz, sous la direction de Henri Tribout de Morembert, Letouzey & Ané, Paris, 1970.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.