Korosi
Korosi ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 1,446 juu ya UB.
Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Baringo.
Tazama pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Korosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |