Kourou
Kourou ni mji wa Kifaransa katika mkoa wa Guyani, kwenye bara la Amerika Kusini.
Kourou | |
Majiranukta: 5°09′35″N 52°39′01″W / 5.15972°N 52.65028°W | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Guyani ya Kifaransa |
Wilaya | Guyani ya Kifaransa |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 23,813 |
Tovuti: www.kourou.info |
Huko kuna Kituo cha kurushia vyombo vya anga-nje cha Umoja wa Ulaya ambako roketi za kubeba satelaiti zinarushwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kourou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kourou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |