Kožuf ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Ugiriki.

Mlima wa Kožuf

Urefu wake ni mita 2,171 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kozuf kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.