Balkani
Rasi ya Balkani ni sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya.
Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia.
Nchi za Balkani
haririHakuna mapatano kamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hutajwa zifuatazo:
- Albania
- Bosnia-Herzegovina
- Bulgaria
- Kosovo
- Montenegro
- Makedonia
- Serbia
- Ugiriki
- Uturuki (upande wa Ulaya hadi Istanbul)
Pengine hata nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Historia
haririNchi za Balkani ziko tofauti lakini zinachanga historia ya pekee ya pamoja:
- zote zilikuwa sehemu za Dola la Roma
- baadaye zilikuwa kwa vipindi tofauti sehemu za Dola la Uturuki
- zilikuwa eneo la mpakani kati ya
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Balkani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |