Kresenti wa Myra (alifariki Myra, leo nchini Uturuki, karne ya 3) alikuwa Mkristo wa mji huo aliyeuawa kwa kuchomwa moto kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Tarehe 15 Aprili ndiyo sikukuu yake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.