Kumbukizi
Kumbukizi (kutoka kitenzi "kukumbuka") ni adhimisho lenye lengo la kufanya ukumbusho wa mtu au tukio muhimu fulani.
Katika utarakilishi, kumbukizi (kwa Kiingereza: memory au computer memory) ni kifaa kinachotumika kutunzia data ili tarakilishi au mashine nyingine za kielektroniki zizitumie mara.
Kwa mfano, KUSOTU au kumbukizi mweka ni aina ya kumbukizi.
Marejeo
hariri- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |