Kwala ni kata ya Wilaya ya Kibaha Vijijini katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61208 .

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,066 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,472 [2] walioishi humo.

Kata hiyo inapitiwa na njia ya reli ya SGR. Kituo kikubwa cha kupanga mabehewa kipo hapa Kwala; mabehewa huunganishwa hapa kuwa treni ya mizigo ya kuelekea shabaha fulani.[3]

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-10.
  3. https://dailynews.co.tz/news/2021-09-286152c87eef89a.aspx Archived 28 Septemba 2021 at the Wayback Machine.Tanzania: Locals Praise Foreign Experts Training Them at SGR Project, gazeti la Daily News ya 28.09.2021
  Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania  

Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kawawa | Kikongo | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kwala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.