Wilaya ya Kibaha Vijijini
Wilaya ya Kibaha Vijijini ni wilaya katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61200 [1]. Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kibaha ya awali. Mwaka 2012 wilaya hii iligawiwa kuwa wilaya mbili za pekee, Kibaha Vijijini pamoja na ile ya Kibaha Mjini.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya ya Kibaha Vijijini ilihesabiwa kuwa 70,209 [2].
Marejeo Edit
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf[dead link]
- ↑ Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-22.
Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania | ||
---|---|---|
Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kikongo (Kibaha) | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibaha Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |