Kwemingoji ni kata ya Wilaya ya Muheza katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 2,905.[1]

Baadhi ya watu maarufu kutoka Kwemingoji ni:

  • Herbet Mntangi, aliyekuwa mbunge wa wilaya ya Muheza
  • Jerome Mkhande, aliyekuwa diwani wa kwanza wa kata hiyo
  • Charles Yakobo Ibrahim, maarufu kama Chale wa Fidea, mwanamaendeleo na mdau muhimu wa elimu
  • Ntila Mohammad, mfanyabiashara na mjasiriamali mkubwa
  • Semkiwa Mgalawe, mjasiriamali mkubwa na dalali wa machungwa
  • Charles Mhando, maarufu kama Charles Kidude, mkulima

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Muheza - Mkoa wa Tanga - Tanzania
 

Amani | Bwembwera | Genge | Kicheba | Kigombe | Kilulu | Kisiwani | Kwabada | Kwafungo | Kwakifua | Kwemingoji | Kwemkabala | Kwezitu | Lusanga | Magila | Magoroto | Majengo | Makole | Masuguru | Mbaramo | Mbomole | Mhamba | Misalai | Misozwe | Mkuzi | Mlingano | Mpapayu | Mtindiro | Ngomeni | Nkumba | Pande Darajani | Potwe | Songa | Tanganyika | Tingeni | Tongwe | Zirai

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kwemingoji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.