Magila ni kata ya Wilaya ya Muheza katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,163 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,758 [2]

Msimbo wa posta ni 21407.

Historia hariri

 
Kanisa la Anglikana Magila mnamo mwaka 1900.

Magila ilikuwa kitovu cha kwanza cha misheni ya Kianglikana ya UMCA ilipoamua kufika barani kutoka Zanzibar mwaka 1868[3]. Wamisionari walianzisha hapa Magila Boys Middle School na Hospitali ya Magila[4].

Jengo ambalo lilikuwa shule ya kwanza Tanganyika bado liko. Kwa sasa kuna shule ya sekondari inayomilikiwa na Kanisa Anglikana inayoitwa Hegongo Holy Cross Sekondary na nyingine inayomilikiwa na serikali inayoitwa Magila Sekondari.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Tanga Region - Muheza District Council". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2016-04-29. 
  3. The History Of The Universities’ Mission to Central Africa, 1859-1898, uk. 59, online kwenye [archive.org Internet archive]
  4. The Wiley-Blackwell Companion to the Anglican Communion, katika Chapter 19, bila namba za kurasa (via google books, imetazamiwa Aprili 2016)
  Kata za Wilaya ya Muheza - Mkoa wa Tanga - Tanzania
 

Amani | Bwembwera | Genge | Kicheba | Kigombe | Kilulu | Kisiwani | Kwabada | Kwafungo | Kwakifua | Kwemingoji | Kwemkabala | Kwezitu | Lusanga | Magila | Magoroto | Majengo | Makole | Masuguru | Mbaramo | Mbomole | Mhamba | Misalai | Misozwe | Mkuzi | Mlingano | Mpapayu | Mtindiro | Ngomeni | Nkumba | Pande Darajani | Potwe | Songa | Tanganyika | Tingeni | Tongwe | Zirai

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.