Songa ni kata ya Wilaya ya Muheza katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,941 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,769 [2].

Msimbo wa posta ni 21422.

Songa inasifika kwa uzalishaji mkubwa wa matunda ya machungwa yenye ubora wa hali ya juu sana ukilinganisha na machungwa ya maeneo mengine nchini Tanzania.

Pia kwa kilimo cha nafaka aina ya mahindi, maharage na kunde na kwa kuzalisha kwa kiasi kikubwa zao la mihogo.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Tanga Region - Muheza District Council". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2016-04-29. 
  Kata za Wilaya ya Muheza - Mkoa wa Tanga - Tanzania
 

Amani | Bwembwera | Genge | Kicheba | Kigombe | Kilulu | Kisiwani | Kwabada | Kwafungo | Kwakifua | Kwemingoji | Kwemkabala | Kwezitu | Lusanga | Magila | Magoroto | Majengo | Makole | Masuguru | Mbaramo | Mbomole | Mhamba | Misalai | Misozwe | Mkuzi | Mlingano | Mpapayu | Mtindiro | Ngomeni | Nkumba | Pande Darajani | Potwe | Songa | Tanganyika | Tingeni | Tongwe | Zirai

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Songa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.