Lahoh (Kiarabu: لحوح, kiromania: laḥūḥ, Kisomali: laxoox (𐒐𐒖𐒄𐒝𐒄) au canjeero (𐒋𐒖𐒒𐒃𐒜𐒇𐒙),kiebrania:לַחוּח [lɑħɔħ]),kwa kiarabu kutokea kwenye asili ya kiarabu neno "lawh" ni mkate wa sponji, bapa kama vile chapati uliotokea Somalia.  Ni aina ya mkate bapa unaoliwa mara kwa mara nchini Somalia, Djibouti, Ethiopia na Yemen.  Wahamiaji Wayahudi wa Yemeni walieneza chakula hicho nchini Israeli.[1]  kinaitwa Laxoox/Lahoh au Canjeero/Canjeelo nchini Somalia, Somalia na Djibouti, na kinaitwa Lahoh/Lahuh Yemen.

Lahuh, Laxoox, Canjeero, au Canjeelo

Marejeo hariri

[2][3][4]

  1. https://www.deliciousisrael.com/blog/lahoh
  2. http://food.lizsteinberg.com/2009/01/05/saturday-brunch-lahoh-purple-salad-with-ginger-dill-dressing-and-more/
  3. http://www.yobserver.com/news-varieties/10012048.html
  4. http://food.lizsteinberg.com/2010/01/27/hatikva-market/