Ziwa Huron
(Elekezwa kutoka Lake Huron)
Ziwa Huron ni moja kati ya maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Ziwa limepakana na Kanada (Ontario) upande wa mashariki halafu na Marekani (Michigan) upande wa magharibi.
Ziwa Huron ni ziwa kubwa wa pili la bara hili. Pamoja na maziwa ya Ziwa Superior, Ziwa Erie na Ziwa Ontario liko mpakani kati ya Marekani na Kanada na mpaka huu umepita ziwani.
Ziwa Huron hupokea maji yake kutoka Ziwa Superior kupitia Mto St. Marys na kutoka Ziwa Michigan kupitia Straights of Mackinac. Maji hutoka kwa nia ya Mto St. Clair kwende Ziwa Erie.
Vipimo
haririZiwa lina urefu wa kilomita 332 na upana mkubwa wa 245 km. Uso wake una eneo la 59,600 km2. Kina cha wastani ni 59 m lakini kina kikubwa chafikia 230 m.
Maziwa Makubwa
hariri- Ziwa Superior
- Ziwa Huron
- Ziwa Michigan
- Ziwa Erie
- Ziwa Ontario
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Huron kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Huron kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |