Laurenti Maiorano (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 5 - Siponto, leo Manfredonia, Puglia, 7 Februari, 545 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 490 hivi. Ndiye anayesifiwa kwa kuanzisha patakatifu pa Malaika Mikaeli kwenye mlima Gargano.[1].

Patakatifu pa Mt. Mikaeli Malaika mkuu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Vailati, Valentino, 1990: San Lorenzo Maiorano vescovo e protagonista nella storia di Manfredonia. Edizioni del Golfo

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.