Laurenti wa Novara
Laurenti wa Novara (alifariki Novara, Italia Kaskazini, karne ya 5) alikuwa padri aliyeuawa pamoja na baadhi ya watoto wengi sana aliowafundisha imani na kuwabatiza katika batizio aliyoitengeneza [1].
Wengine wanasema alikuwa askofu wa tatu wa Novara [2].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91609
- ↑ J. Gribomont, Lorenzo di Novae, Nuovo dizionario patristico e di antichità cristiane, 2007, vol. II, col. 2913. G. Morin, L'éveque Laurent de « Novae » et ses opuscules théologiques, attribués à tort à un Laurent de Novare, in Revue des Sciences Philosophiques et Théologiques, vol. 26, 1937, pp. 307–317.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |