Lauriano wa Vatan

Lauriano wa Vatan (alifariki Vatan, karibu na Bourges, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 au ya 4) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.