Leo wa Bayonne (Carentan, Manche, Ufaransa, 856 hivi - 890 hivi) alikuwa askofu mkuu wa Rouen, Ufaransa, halafu askofu wa Bayonne mmisionari kwa Waeuskara kati ya Ufaransa na Hispania za leo ambaye hatimaye aliuawa na Wavikingi kwa kukatwa kichwa[1].

Mt. Leo katika dirisha la kioo cha rangi huko Issor.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, pengine pamoja na ndugu zake Filipo na Gervasi.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Machi[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • (Kifaransa) Jules Thieury, Armorial des archevêques de Rouen, Imprimerie de F. et A. Lecointe Frères, Rouen, 1864, p. 40.
  • (Kifaransa) Fisquet Honoré, La France pontificale (Gallia Christiana): histoire chronologique et biographique...Metropole de Rouen: Rouen, ed. Etienne Repos, Paris, 1864, pp=50-51 [[1]]
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.