Leoboni
Leoboni (kwa Kifaransa: Léobon; Saint-Étienne-de-Fursac, karne ya 5 - 530) alikuwa mkaapweke huko Salagnac, karibu na Limoges, leo nchini Ufaransa[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- L'abbé Louis Dubreuil, Sainte Rufine et saint Léobon patrons de Fursac, l'église de Saint-Pierre-de-Fursac, les prieurs-curés de Chambon-Sainte-Croix avec poésies et légendes par François Mettoux, instituteur retraité, Guéret imprimerie-papeterie P. Amiault, place d'armes, 1900.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |