Leso
Leso (kutoka Kireno "lenço"; kwa Kiingereza: "handkerchief") ni kitambaa cha kawaida chenye umbo la mraba kilichotengenezwa kwa pamba au nguo nyingine ambayo inaweza kuingia katika mfuko au mkoba, na ambayo ina lengo la usafi wa binafsi kama kuifutia mikono au uso, au kufutia damu, lakini hasa kamasi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leso kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |