Liboso wa Beja (alifariki mwaka 258) alikuwa askofu wa Beja (katika Tunisia ya leo) hadi alipouawa kwa ajili ya imani yake[1].

Katika mtaguso wa Karthago wa mwaka 256 alitoa kauli maarufu: "Katika Injili, Kristo alisema, 'Mimi ndimi ukweli', si 'Mimi ndimi desturi'".

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.