Liga dos Escuteiros de Mozambique

shirika la skauti

Liga dos Escuteiros de Moçambique (LEMO) ni chama cha Skauti nchini Msumbiji,chama hiki kilianzishwa mnamo mwaka 1994 lilianzishwa mwaka wa 1994 na kuwa mwanachama wa chama cha Skauti Duniani mnamo mwaka 1999,[1] mwaka 2017 chama hiki kilikuwa na jumla ya wanachama 31,108 huku wanachama wengi wakiwa wanatoka katika miji mikubwa huku kamanda mkuu wa Skauti akiwa ni raia wa Poland anaejulikana kama Leonardo Adamowicz.[2]

Msumbiji ilikuwa mwenyeji wa Jamboree ya Afrika ya 5 mwaka 2006, na ilitarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkusanyiko wa Dunia wa Waskauti uliofutwa mwaka 2008. Chama hicho ni mwanachama wa Comunidade do Escutismo Lusófono (Jumuiya ya Uaskauti wa Kiprake). [3]


Majereo hariri

  1. "Mozambique to celebrate "Scout Cultural Heritage"". World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-05. Iliwekwa mnamo 2009-01-30.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Triennal review: Census as at 1 December 2017". World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 May 2012. Iliwekwa mnamo 2011-01-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  3. "13th Africa Scout Conference Report" (PDF). World Organization of the Scout Movement. Iliwekwa mnamo 2009-01-30. [dead link]