Likaonia
Likaonia (kwa Kigiriki: Λυκαονία, Lykaonia) ilikuwa eneo la rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) kaskazini kwa Milima ya Taurus.
Ilipakana na Kapadokia, Galatia, Frigia, Pisidia na Kilikia.
Ilibaki huru hadi mwaka 200 KK hivi.
Mtume Paulo pamoja na Barnaba walifanya umisionari huko (Mdo 14:6).
Marejeo
hariri- W. M. Ramsay, Historical Geography of Asia Minor (1890), Historical Commentary on Galatians (1899) and Cities of St Paul (1907)
- An article on the topography in the Jahreshefte des Oesterr. Archaeolog. Instituts, 194 (Beiblatt) pp. 57–132.
- Asia Minor Coins - Lycaonia Ilihifadhiwa 4 Februari 2021 kwenye Wayback Machine. Ancient Greek and Roman coins from Lycaonia