Lilian Mary Nabulime
Lilian Mary Nabulime (alizaliwa 22 Desemba 1963) ni mhadhiri wa sanaa na mchongaji wa sanamu nchini Uganda. Ni mhandisi wa chuo cha uundaji, sanaa na teknolojia (CEDAT) na amefanya maonyesho ya kazi zake ndani na nje ya nchi yake. [1]
lilian Mary Nabulime | |
Amezaliwa | 22 Uganda |
---|---|
Nchi | Uganda |
Kazi yake | Ni mhariri wa Sanaa na mchongaji wa sanamu |
Wasifu
haririNabulime alizaliwa wilaya ya Kampala nchini Uganda mwaka 1963 na kusoma shule ya msingi ya wasichana Nkoni. Alisoma shule ya Makerere kwa elimu ya sekondari na upili na baadae kupata shahada ya Sanaa kutoka Chuo kikuu cha Makerere mwaka 1987. Alipata shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Makerere na shahada ya uzamivu katika chuo kikuu cha Newcastle mwaka 2007.[2]
Kazi yake
haririNabulime ni mhadhiri na pia alishawahi kuwa kiongozi wa idara ya viwanda, Sanaa, chuo cha uhandisi, uundaji, na teknolojia (CEDAT) katika chuo kikuu cha makerere. Kazi yake hutumia vitu vya kawaida kama vile sabuni, chujio, nguo, chupa za chuma na sehemu za magari katika kutengeza taswira na ajenda zinazohusu magonjwa, jinsia na mazingira kwa lengo la kuongeza utambuzi na kuikuza Sanaa.[3][4]
Tuzo zake
haririMarejeo
hariri- ↑ "Lillian Mary Nabulime". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
- ↑ "The role of sculptural forms as a communication tool in relation to the lives and experiences of women with HIV/AIDS in Uganda". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "Lillian Nabulime addresses girl child in exhibition".
- ↑ "Nabulime’s bold and beautiful art lights up the work place". Retrieved on 2021-03-06. Archived from the original on 2018-04-29.
- ↑ "Using Art to talk about HIV/AIDS".
- ↑ "Using art and everyday objects to fight HIV/AIDS in Uganda" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-01-28. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help)