Lobengula

Lobengula Khumalo (Septemba 1845 - Januari 1894) alikuwa mfalme wa pili na wa mwisho wa Wandebele (tawi la Wazulu katika nchi ambayo leo inaitwa Zimbabwe)

Mfalme Lobengula

Jina "Lobengula" linamaanisha "Aliyekuwa mgonjwa".

WazaziEdit

Baba yake alikuwa Mzilikazi, ambaye alimtangulia Lobengula kama mfalme wa Wandebele[1].

Mama yake Lobengula alikuwa mke mdogo kwenye boma ya Mzilikazi, na Lobengula aliweza kumrithi baba yake kwa umaarufu wake katika vita.

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit