Lodwar
Lodwar ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Turkana.
Lodwar | |
Mahali pa mji wa Lodwar katika Kenya |
|
Majiranukta: 03°07′0″N 35°36′0″E / 3.11667°N 35.60000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Turkana |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 48,316 |
Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 48,316[1].
Lodwar ina mito miwili na kiwanja cha ndege ndogo. Mto mkubwa ni mto Turkwel.
Watalii wanasafiri Lodwar kuona pahali ya masalia ya zamadamu (kama kijana wa Turkana, aliyefumwa na Kamoya Kimeu, Meave Leakey na Richard Leakey) na kupumzika karibu na ziwa la Turkana.
Tanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lodwar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |