Loliondo ni jina linalotokana na mti (mloliondo) ambao unapatikana eneo la Loliondo tu katika kata ya Orgosorok, wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha.

Kata ya Orgosorok (Loliondo)
Samunge, Loliondo, Tanzania.
Samunge, Loliondo, Tanzania.
Samunge, Loliondo, Tanzania.
Nchi Tanzania
Mkoa Arusha
Wilaya Ngorongoro
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Loliondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.