Love Don't Cost a Thing

"Love Don't Cost a Thing" ni single kiongozi kutoka kwa albamu ya Jennifer Lopez inayoitwa J.Lo (2001). Ilikuwa namba 3 kwenye chati ya Billboard Hot 100, kando ya kuwa namba 1 nchini Uingereza. Lopez aliimba nyimbo hii kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za MTV Europe Music Awards 2000 mnamo Novemba 2000, mjini Stockholm, Sweden.

“Love Don't Cost a Thing”
“Love Don't Cost a Thing” cover
Kasha ya single ya Love Don't Cost a Thing.
Single ya Jennifer Lopez
Imetolewa 8 Januari 2001
Imerekodiwa 2000
Aina Dance-pop, R&B
Urefu 3:42
Studio Epic
Mtayarishaji Ric Wake
Mwenendo wa single za Jennifer Lopez
"Let's Get Loud"
(2000)
"Love Don't Cost a Thing"
(2001)
"Play"
(2001)

Video hariri

Video ya wimbo hii inaanza pale Lopez anaongea na mpenzi wake kwa simu; akimwambia Lopez kuwa hatoweza kuja. Kisha, anamuuliza Lopez ikiwa amepata bangili aliyomletea, na Lopez anamjibu kuwa angefurahia ikiwa yeye angekuja, badala ya kumnunulia bangili, kisha Lopez akakata simu kwa hasira. Kisha, Lopez anatoka kwa jumba aliyokuwemo, na kuingia kwenye gari na akaelekea baharini. Alipofika, alivua miwani na koti lake na kutoa barua iliyoandikwa: "Natamani ungelikuwa nami". Lopez anaendelea kuimba kando ya bahari na mwishowe, anatoa fulana aliyovaa na kufinika matiti yake kwa mikono yake.

Video hii ilipigiwa kura kwenye sherehe za 2001 MTV Video Music Awards: Best Female Video na Best Dance Video.

Chati hariri

Nchini Marekani, "Love Don't Cost a Thing" ilikuwa kwenye chati ya Billboard Hot 100 namba 46, mnamo 9 Desemba 2000. Wiki tatu baadaye, single hii ilikuwa kwenye top 20, na kisha ikapanda kutoka namba 10 hadi 4, mnamo 27 Januari 2001. "Love Don't Cost a Thing" ilibaki kwa namba 3 kwa muda ya wiki mbili mfululizo.

Nchini Asia, wimbo hii ilikaa kwenye chati ya MTV Asia Hitlist kwa muda ya wiki saba.

Orodha hariri

U.S. CD single
  1. "Love Don't Cost a Thing" (HQ2 Club Vocal Mix)
  2. "Love Don't Cost a Thing" (Main Rap #1 featuring P. Diddy)
  3. "Love Don't Cost a Thing" (RJ Schoolyard Mix featuring Fat Joe)
  4. "Love Don't Cost a Thing" (Full Intention Club Mix)
  5. "Let's Get Loud" (Kung Pow Club Mix)
Toleo la Uingereza
  1. "Love Don't Cost a Thing"
  2. "Love Don't Cost a Thing" (Full Intention Club Mix)
  3. On the 6 Megamix ("If You Had My Love"/"Waiting for Tonight"/"Let's Get Loud")
  4. "Love Don't Cost a Thing" (Video)
Toleo la Australia
  1. "Love Don't Cost a Thing"
  2. On the 6 Megamix ("If You Had My Love"/"Waiting for Tonight"/"Let's Get Loud")
  3. "Love Don't Cost a Thing" (RJ Schoolyard Mix featuring Fat Joe)

Chati hariri

"Love Don't Cost a Thing" hariri

Chati (2001) Namba
Australian Singles Chart[1] 4
Austrian Singles Chart[1] 11
Belgian Singles Chart (Flanders)[1] 7
Belgian Singles Chart (Wallonia)[1] 2
Canadian Singles Chart[2] 1
Danish Singles Chart[1] 4
Dutch Top 40[3] 1
European Hot 100 Singles[4] 2
Finnish Singles Chart[1] 1
French Singles Chart[1] 5
German Singles Chart[5] 6

Chart (2001) Peak
position
Irish Singles Chart[6] 4
Italian Singles Chart[1] 1
New Zealand Singles Chart[1] 1
Norwegian Singles Chart[1] 3
Swedish Singles Chart[1] 3
Swiss Singles Chart[1] 2
UK Singles Chart[7] 1
U.S. Billboard Hot 100[2] 3
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[2] 40
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[2] 9

Thibitisho hariri

Nchi Mwenye Kutoa Thibitisho Mauzo
Australia ARIA Platinum[8] 70,000
Uswizi IFPI Gold[9] 20,000
Uingereza BPI Silver[10] 200,000

Marejeo hariri

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 "Jennifer Lopez – Love Don't Cost A Thing – swisscharts.com". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-08-14. 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "J.Lo (Bonus Track) > Charts & Awards > Billboard Singles". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-08-14. 
  3. "Nederlandse Top 40 – week 3 – 2001". Top 40 (kwa Dutch). Iliwekwa mnamo 2008-08-14. 
  4. "European Top 20 Singles Chart – Week Commencing 5th February 2001" (PDF). Music & Media. Pandora Archive. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2002-02-21. Iliwekwa mnamo 2008-11-17. 
  5. "Musicline.de – Jennifer Lopez – Love Don't Cost A Thing". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-13. Iliwekwa mnamo 2008-08-14. 
  6. "Irish Top 50 Singles, Week Ending 18 January 2001". Chart-Track. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-19. Iliwekwa mnamo 2008-10-11. 
  7. "Chart Stats – Jennifer Lopez – Love Don't Cost A Thing". Chart Stats. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-20. Iliwekwa mnamo 2008-08-14. 
  8. "ARIA Charts – Accreditations – 2001 Singles". ARIA. Iliwekwa mnamo 2009-04-19. 
  9. "Swiss Certifications – Awards 2001". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-04-19. 
  10. "BPI Certified Awards". BPI. 26 Januari 2001. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-02.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help)