Lucas Moura
Mchezaji mpira miguu wa Brazil
Lucas Rodrigues Moura da Silva (anajulikana kama Lucas au Lucas Moura; alizaliwa tarehe 13 Agosti 1992) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Uingereza Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Brazil.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lucas Moura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |