Lucie Nizigama

Mwanasheria wa Burundi na mwanaharakati wa haki za wanawake

Lucie Nizigama (1 Mei 1957Septemba 2010[1]) alikuwa mwanasheria wa Burundi na mtetezi wa haki za wanawake.

Wasifu hariri

Nizigama alizaliwa katika jimbo la Ruyigi. Baada ya kifo cha baba yake, mama yake alikuwa katika vita vya kisheria na wakwe zake na alipitia kesi ndefu za mahakama ili kupata fursa ya kurithi ardhi ya familia yao. Mama yake Lucie aliweza kumsomesha. Alikuwa na ndugu wengine watatu. Aliendelea na shule ya sheria miaka kadhaa baadaye.[2]

Marejeo hariri

  1. "Burundi: Lucie Nizigama est partie. | Les nouvelles du Burundi – Burundi Africa Generation". burundi-agnews.org. Retrieved 2017-11-08.
  2. "Lucie Nizigama: A great loss for the African human rights community". Database of Press Releases related to Africa – APO-Source. 2010-09-22. Retrieved 2017-11-08.
  1. http://burundi-agnews.org/uncategorized/burundi-lucie-nizigama-est-partie/
  2. https://appablog.wordpress.com/2010/09/22/lucie-nizigama-a-great-loss-for-the-african-human-rights-community/