Lucius Verus (kwa Kilatini: Lucius Aurelius Verus Augustus; 15 Desemba 130169) alikuwa kaisari wa Dola la Roma pamoja na Marcus Aurelius kuanzia Machi 161 hadi kifo chake.

sanamu ya Lucius Verus

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucius Verus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.