Lugha Panufu ya Matini (XML)

Katika utarakilishi, Lugha Panufu ya Matini (kifupi: LPM; kwa Kiingereza: Extensible Markup Language, XML) ni lugha ya kutunga inayoeleza kanuni za kusimba waraka pepe katika umbizo jalada linalosomeka kwa binadamu na kwa tarakilishi vilevile.

Mfano wa hati ya LPM.

Mfano ya LPMEdit

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu ! ».

<greeting>Jambo Ulimwengu !</greeting>

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)