Lugha za Kinyulnyulan

Lugha za Kinyunyulan ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tisa tu ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Western Australia. Lugha nyingi za Kinyunyulan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.

Eneo la lugha za Kinyunyulan barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Orodha hariri

Lugha hizo tisa ni za Kinyunyulan:

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kinyulnyulan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.