Lukobe ni kata ya Morogoro (mji), Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67120.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 56,574 [1]. Lukobe haijulikani idadi ya wakazi wake katika Sensa ya mwaka 2012 kwa sababu ilikuwa haijawa kata[2]. Sasa inaendelea kwa kasi kwa kuwa ina wahamiaji wengi kutoka sehemu mbalimbali.

Lukobe ina mitaa miwili ambayo ni Lukobe juu na Lukobe kambi tano. Ina miundombinu ya wastani na kuna reli mbili ambazo ni reli ya kawaida na reli ya umeme (SGR). Karibu 80% ya maeneo yake yamepata umeme, hivyo shughuli mbalimbali zinaendea kwa umeme huo.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Morogoro Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Bigwa | Boma | Chamwino | Kauzeni | Kichangani | Kihonda | Kihonda Maghorofani | Kilakala | Kingo | Kingolwira | Kiwanja cha Ndege | Luhungo | Lukobe | Mafiga | Mafisa | Magadu | Mazimbu | Mbuyuni | Mindu | Mji Mkuu | Mji Mpya | Mkundi | Mlimani | Mwembesongo | Mzinga | Sabasaba | Sultan Area | Tungi | Uwanja wa Taifa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lukobe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.