Lutricia McNea
Lutricia McNeal (amezaliwa tar. 27 Novemba, 1973 huko mjini Oklahoma City, Oklahoma) ni mwimbaji wa muziki wa soul/pop kutoka nchini Marekani. Alipata mafanikio yake kimataifa kwa vibao vyake kadhaa kama vile "Ain't That Just the Way" (UK: #6, Germany: #5, Sweden: #1) kibao ambacho kiliuza nakala milioni mbili dunia nzima, "Stranded" (UK: #3, Sweden: #6) na "Someone Loves You Honey" (UK: #9).
Lutricia McNeal | |
---|---|
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Lutricia McNeal |
Amezaliwa | 27 Novemba 1973 |
Miaka ya kazi | 1996–hadi sasa |
Studio | Arcarde Records (1996–2000) Bonnier Amigo / Polydor Records (2002–2004) Edel Records (2004–2005) Playground Music (2005–2006) Exzess Berlin (2007) tspmusic (2011–) |
Wavuti | http://www.lutriciamcneal.net |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririMcNeal ni mtoto wa saba katika familia ya watoto tisa. Baba yake ni mchungaji na yeye Lutracia alikuwa mwimbaji wa kwaya katika kanisa la katika kamji kao. Kipaji chake kiligunduliwa na Rogers/Grantham, kazi yake ilianza kushika hatamu baada ya ziara ya Ulaya, ambapo alijiunga na kikundi cha watayarishaji cha Kiswidi Rob'n'Raz. Kwa pamoja watatu hao walipeleka katika chati vibao kadhaa ikiwa pamoija na Top 20 #1 huko Sweden, kibao cha "Clubhopping" (Sweden: #13), "Bite the Beat" (Sweden: #14) na "In Command" (Sweden: #1).
Miaka kadhaa baadaye akaanza kazi zake za kujitegemea na kufanya kibao #1 "Ain't That Just The Way" kibao ambacho kilimfanya awe maarufu dunia nzima. Kilikuwa habari mjini katika chati mbalimbali huko Ulaya na baadaye huko Asia mwisho kikatua katika chati maarufu za US Billboard Dance Charts na kushika nafasi ya kwanza. Kibao baadaye kilitunukiwa dhahabu katika nchi kadha wa kadha.
Diskografia
haririStudio albamu
hariri- 1997 My Side of Town / Lutricia McNeal (UK title)
- 1999 Whatcha Been Doing
- 2002 Metroplex
- 2004 Soulsister Ambassador
Single
haririMwaka | Single | Nafasi iliyoshika | Tunukio |
Albamu | |||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
UK [1] |
SWE |
GER |
AUT |
NOR |
FIN |
SWI |
NZ | ||||||||||||
1997 | "Ain't That Just the Way" | 6 | 1 | 5 | 2 | — | 15 | 3 | 2 |
|
My Side of Town | ||||||||
"My Side of Town" | — | 30 | 73 | — | — | — | — | 1 |
| ||||||||||
"Washington" | — | — | — | — | — | — | — | — | |||||||||||
1998 | "Stranded" | 3 | 6 | 33 | 4 | 4 | — | 14 | 3 |
| |||||||||
"Someone Loves You Honey" | 9 | 26 | 51 | 13 | 17 | — | — | 30 | |||||||||||
"The Greatest Love You'll Never Know" / "When A Child Is Born" | 17 | 36 | — | — | — | — | — | — | |||||||||||
1999 | "365 Days" | — | 18 | 58 | 26 | 14 | — | 31 | 39 | Whatcha Been Doing | |||||||||
2000 | "Fly Away" | — | 14 | 84 | — | — | 7 | 61 | — | ||||||||||
"Sodapop" | — | 54 | — | — | — | — | — | — | Non-album song | ||||||||||
2002 | "Perfect Love" | — | 8 | 41 | 22 | 13 | 20 | 93 | — | Metroplex | |||||||||
"You Showed Me" | — | — | — | — | — | — | — | — | |||||||||||
2003 | "Power Of Music" | — | — | — | — | — | — | — | — | ||||||||||
"Wrong Or Right" | — | — | — | 50 | — | — | — | — | |||||||||||
2004 | "Promise Me" | — | — | 86 | — | — | — | — | — | Soulsister Ambassador | |||||||||
2005 | "Rise" | — | — | — | — | — | — | — | — | Rise | |||||||||
2005 | "It's Not Easy" | — | 3 | — | — | — | — | — | — | — | Non-album song | ||||||||
"Best Of Times" | — | 6 | — | — | — | — | — | — | — | ||||||||||
2007 | "Hold That Moment" | — | — | — | — | — | — | — | — | ||||||||||
2008 | "Same Same Same" | — | — | — | — | — | — | — | — | ||||||||||
2011 | "You Make Me Feel Good" | — | — | — | — | — | — | — | — | ||||||||||
"—" ina maananisha ya matoleo ambayo hayajashika chati katika nchi yoyote ile au sehemu yoyote, ama wimbo haujatolewa katika nchi hiyo. |
Marejeo
hariri- ↑ Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 341. ISBN 1-904994-10-5.