Lydia Koyonda (alizaliwa 29 Mei 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Nigeria na alishiriki na timu yake ya Taifa katika Kombe la Dunia la FIFA mwaka 1991.[1]

Lydia koyonda
Amezaliwa 29 Mei 1974
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. FIFA Women's World Cup China 1991 - Technical Report (PDF). FIFA Women's World Cup China 1991. FIFA (1991). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 20 October 2016.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lydia Koyonda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.