Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{karibu}}'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{karibu}}
 
Tomson salaam! Nimeona makala yako ya [[nguo]]. Ni chanzo chema ila tu naomba usiiache hivihivi. Maana makala mafupi mno hazisaidii sana.
 
Katika umbo kuna pia kasoro mbili mazito:
*hakuna jamii (category) chini yake
* hakuna mpangilio wa lugha.
Kama ungetafuta jamii inayoweza kufaa ungeona pia ya kwamba jambo unalojadili kuna tayari makala [[mavazi]]. Hii unaweza kupanusha. Lakini ilhali "nguo" ina maana mawili tofauti yaani a) vazi na b) kitambaa unaweza pia kubadilisha makala kujadili habari za vitambaa. Hapa ningekushauri angalia kwenye weikipedia ya Kiingereza makala ya textile (ni ndefu), pia simple.wikipedia.org kwa "textile" (ni fupi zaidi). Hapa unaweza kupata mawazo inafaa kutaja habari gani. Unaweza kutafsiri püia sentensi kadhaa (lakini usitafsiri sentensi ndefu za Kiingereza moja kwa moja maana tokeo lake mara nyingi si Kiswahili tena) .
 
Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya [[vita ya Maji Maji]] ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)