Tomson G Wiston
Joined 12 Machi 2017
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{karibu}}
==Kuanza , [[nguo]]==
Tomson salaam! Nimeona makala yako ya [[nguo]]. Ni chanzo chema ila tu naomba usiiache hivihivi. Maana makala mafupi mno hazisaidii sana. Kuna pia tatizo la kuingiliana na makala nyingine ya [[mavazi]],
Katika umbo kuna pia kasoro mbili mazito:
*hakuna jamii (category) chini yake
* hakuna mpangilio wa lugha.
Kama ungetafuta jamii inayoweza kufaa ungeona pia ya kwamba jambo unalojadili kuna tayari makala [[mavazi]]. Hii unaweza kupanusha. Lakini ilhali "nguo" ina maana mawili tofauti yaani a) vazi na b) kitambaa unaweza pia kubadilisha makala kujadili habari za vitambaa. Hapa ningekushauri angalia kwenye
Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya [[vita ya Maji Maji]] ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)
|