Zodiaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
Njia dhahiri za [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] na [[sayari]] zinaonekana pia katika kanda hili la zodiaki.
 
Hadi leo [[unajimu]] unatumia kundinyota hizi 12 kama [[buruji za falaki]] kwa imani ya kwamba nyota hizi zina athiraathari kwa kipindi fulani cha mwaka kinachoitwa kufuatana na kundinyoti au buruji ya falaki yake. Lakini hali halisi Jua linapita katika maeneo ya kundinyota 13, si 12.
 
Miaka 3000 iliyopita ambako mfumo wa Zodiaki ulibuniwa, wataalamu wa Babeli waliondoa kundinyota ya [[Hawaa (kundinyota)|Hawaa]] ''(Ophiuchus)'' katika mfumo kwa shabaha ya kupata mgawanyo wa anga unaolingana na miezi 12 ya kalenda.